KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday 22 October 2014

WHATS ON ? MISS TZ 2014 SITTI MTEMVU ,MKURUGENZI WA MISS TZ ASEMA YEYE NI MISS HALALI MWENYE VIGEZO VYOTE'' HUKU WATANZANIA WENGI WAKITAKA KUAMBIWA VIGEZO HIVYO '' NA JE SASA MMESHAGUNDUA KADANGANYA UMRI WAKE'' NI KWANINI MSIMVUE MISS 2014 HARAKA IWEZEKANAYO ? MBUTA NANGA!!

MBUTA NANGA!! NGACHOKA'


Kamati ya Miss Tanzani imesema kuwa haiwezi kumvua taji Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kwa kuwa ni Miss halali na mwenye vigezo vyote vilivyotakiwa, na amewataka watu kutoropoka kwa kuwa hawajui vigezo vinavyotakiwa 
Akifafanua kuhusu suala la umri, mratibu wa mashindano hayo Hashim Lundenga amesema kuwa cheti halali walichonacho wao ni kile kinachoonesha Sitti Mtemvu kazaliwa 24 mei 1991 na si vinginevyo.

Kuhusu suala la passport na leseni zilizosambaa kwenye mitandao ya jamii zikionesha amezaliwa mwaka 1989, Lundenga amesema wao huwa hawangaali vitu hivyo wanachojali ni cheti cha kuzaliwa.

Kuhusu tuhuma za unene amesema wao huwa hawaangalii wembamba wala ufupi, muhimu ni awe na vigezo vinavyotakiwa
 
CREDIT:EAST AFRICA TV

No comments:

Post a Comment