KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday 28 July 2014

WHATS UP ? RAIS WETU ANATUFAAJE? ONA FUTARI KWA YATIMA NA WALEMAVU WA NGOZI NA WATOTO WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU 'ILIYO ANDALIWA IKULU DAR ES SALAAM TANZANIA!!

FLORA LYIMO (PICHANI) MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO''NAPENDA KUMPA RAISI WANGU PONGEZI'' MHESHIMIWA RAIS WETU WA MUUNGANO WA JAMHURI YA TANZANIA 'MHESHIMIWA RAIS JAKAYA KIKWETE'' SHIKAMOO MIAKA NA AKILI RAISI '' IM SO PROUD OF YOU '' MUNGU IBARIKI TANZANIA NA KILA KILICHOPO NNJE NA NDANI YAKE AME'' RUWA MANGI''

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu  na viongozi wa vituo mbalimbali vya yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari  aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Vijana kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakimshukuru Mama Salma Kikwete kwa futari 
Vijana kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakipata picha ya pamoja na Mama Salma Kikwete baada ya  futari waliyoandaliwa na Rais Kikwete

Rais Kikwete akipita meza moja baada ya ingine kuwasalimia yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru kwa kuja viongozi wa vituo mbalimbali vya yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu katika futari  aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Mama Salma Kikwete akitoa neno la shukurani kwa waalikwa kwenye futari hiyo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mtoto Khaitham Jumbe Jumbe ambaye alimuandalia zawadi
Rais Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka kwa mtoto Khaitham Jumbe Jumbe mwenye umri wa miaka saba na mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi ya Yemen iliyoko Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Rais Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka kwa mtoto Khaitham Jumbe Jumbe mwenye umri wa miaka saba na mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi ya Yemen iliyoko Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Aliyeketi kushoto ni Bi. Mwajuma Hassan wa Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni.

Wageni waalikwa wakifurahia zawadi walizopewa kwenye futari hiyo
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Rais Kikwete akipakua futari  Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni
Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakiswali swala ya Magharibi wakati wa  futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment